Monday, July 15, 2013
Wito wa kusitisha tozo/kodi ya laini ya simu kufuatia mabadiliko ya sheria ya kodi 2013
WITO WA KUSITISHA TOZO/KODI YA LAINI YA SIMU KUFUATIA MABADILIKO YA SHERIA YA KODI 2013
CHANGE TANZANIA timu! Wakati ni kwetu kuonyesha kuwa mabadiliko ni sisi na si kusubiri mtu mwingine alete mabadiliko. Tembelea tovuti hii (http://www.avaaz.org/en/petition/WITO_WA_KUSITISHA_TOZOKODI_YA_LAINI_YA_SIMU_KILA_MWEZI_KUFUATIA_MABADILIKO_YA_SHERIA_YA_KODI_2013/?copy na uweke sahihi yako kupitia mtandao ili kuikataa kodi au tozo kandamizi ya laini ya simu (Sim card tax). Tusaidiane tukusanye sahihi milioni moja ili tuweze kuiwasilisha bungeni mwezi wa nane . Ni dakika chache tu toa muda wako muhimu kulijenga Taifa lako, watanzania tumekuwa na utamaduni wa muda mrefu wa kulalamikia vitu na kuvihacha viendelee japo atukubaliani navyo, kwa kusaini hapo kwenye link kwa pamoja tutakuwa na sauti moja katika ili, pia itasaidia kumtetea mwananchi wa hali ya chini ambaye ndo anaumizwa sana na kodi au tozo hii kandamizi kila mwezi, serikali inaweza bana matumizi ili kutekeleza bajeti yake, pia kuna vyanzo vingine vya kodi kama tulivyoelezea kwenye hiyo petition. Shawishi na wenzako angalau 100 waweze saini zao pia, kwa kadri tunakavyoweza pata idadi kubwa ndivyo tutakavyopata uwezo wa kusimamisha hii kodi, nchi ni wananchi, sisi ni wananchi.
Mabadiliko kwa vitendo.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
When ever did a petition achieve its objectives in Tanzania? They work in the West. They are not in our culture. They're simply ignored.
ReplyDeleteIf we really want to make change, perhaps we should emulate Mahatma Gandhi, who started using non-violent protests as a way of achieving his objectives. The Dalai Lama is famous for organising successful sit-ins.
Instead of being engaged in public demonstrations, where the police beat us up with sticks and teargas bombs and NOW live bullets, a simple sit-in at the relevant office of the accused, will do the job. Peacefully disrupt their work; make it impossible to do their work. Lie in front and in the back of their luxury vehicles. Remember Tiannamen Square where a lone activist dared stand in front of a MILITARY TANK? Now THAT was true activism!
Petitions? Ha! Make me laugh!